25000

Hadithi za 'ladybird' zimesimuliwa kwa kuzingatia mikusanyiko ya hadithi za well-loved tales ' ambazo zinapendwa na wasomaji wengi sana. 

Hadithi hizi za kipekee zimepambwa michoro maridadi amboyo inaleta ubora na uhondo wa wasimulizi ya ladybird kwa wasomaji wa kizazi kipya. Watoto kutoka kizazi hadi kizazi wamependa hadithi hizi ,na watapata burudani zaidi kwa kuzisoma pamoja.

You may also like